Soma na pakua hapa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Dira hii ya pili isiyofungama na chama cha kisiasa kwa nchi yetu ni matokeo ya maoni ya wananchi ambapo sehemu kubwa ya waliotoa maoni ni vijana.
DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050