Una miaka kati ya 15 hadi 35? Bofya hapa kuona fursa kutoka Serikalini

Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan anafungua fursa zaidi za mafunzo ya ufundi ikiwa ni moja ya njia za kukabiliana na changamoto ya ajira nchini hasa kwa vijana na wanawake.

Hapa chini ni tangazo la fursa za mafunzo kwa vijana wenye umri kati ya miaka 15 hadi 35 ambayo yanatolewa bure na Serikali katika vyuo 28 nchini.

TANGAZO LA MAFUNZO TAREHE 16.02.23

Hapa chini ni fomu ya kutuma maombi;

FOMU YA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UJUZI