Changamkia nafasi mpya za ajira IFM, WCF, JKCI na KCMC

Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan anaendelea kuongeza nafasi za ajira katika taasisi mbalimbali za Serikali ili kuboresha utoaji huduma kwa wananchi.