Nafasi mpya za ajira Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan anaendelea kuongeza nafasi za ajira katika taasisi mbalimbali za Serikali ili kuboresha utoaji huduma kwa wananchi.